Mahakama ya Al shabaab nchini Somalia yaamuru mwanamke kupigwa hadi Kufa
Mwanamke apigwa mawe hadi kufa baada ya Mahakama iliyochini ya Al-Sahabab kumtia hatiani kwa kosa la kuwa na wanaume wengi
-
Shukri Abdullahi Warsame amepatikana na hatia ya kuolewa na Wanaume 7 tofauti tofauti bila
-
Mwanamke huyo alizikwa mwili mzima na kuachwa kichwa pekee kisha wapiganaji wa Al-Shabab walianza kumpiga kwa mawe hadi alipofikwa na umauti
-
Kwa mujibu wa Sharia, Mwanamke huyo alipaswa kuwa ametalikiwa ndipo aruhusiwe kuolewa tena lakini kwake haikuwa hivyo kwa ndoa hizo 7
Hakuna maoni