ASKOFU PENGO KUPOTEZA UASKOFU
Kutokuwepo
kwa Askofu wa Jimbo kwenye kanisa ambalo Mh. Rais alishiriki ibada ya pasaka, (St Joseph)na misa hiyo kuongozwa.
mjadala
huo umeshika kasi kubwa, baada ya mwanadada maarufu Tanzania,(Mange Kimambi)
kuleta habari za uwepo wa habari za kuhojiwa kwa Askofu Pengo na mamlaka za
Vatcan ambayo ndio msimamizi wa kanisa Katoliki Duniani.
Mange
amesema katika kurasa zake kwamba...kadinali Pengo amehojiwa na Vatican wiki
hii iliyokwisha akiulizwa ni kwanini kaenda kinyume na maaskofu wenzie na
kuwadhalilisha hadharani? Pengo yupo kwenye hot seat sasa hivi ndo maana jana
ameshindwa kumsalisha Mhutu ikabidi Mhutu aaibike asalishwe na paroko msaidizi.
Nchi nzima hakuna askofu hata mmmoja aliekubali kusalisha misa aliyokwenda
Mhutu...
.
.
Na nasikia Kadinali Pengo ametakiwa na Vatican kujiuzulu ukadinali. Kwahiyo siku yoyote kuanzia sasa Pengo anavuliwa ukadinali..
.
.
Na nasikia Kadinali Pengo ametakiwa na Vatican kujiuzulu ukadinali. Kwahiyo siku yoyote kuanzia sasa Pengo anavuliwa ukadinali..
waraka wa
maaskofu wa kanisa la katoliki na ule wa makanisa ya walutheri, umeendelea kuwa
gunzo na mjadala mkubwa huku watanzania wakizidi kuwasihi viongozi wa kisiasa
kuutafakari kwa maslai ya Taifa badala ya kuukejeli kabla yamadhara husika
hayajatokea.
Hakuna maoni