Recent Posts

Breaking News

Maalim Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa Cuf, atuma ujumbe mzito kwa serikali ya Dr. Shein na ccm

CCM acheni uwoga, niwaambie tu kwamba katika serikali ya umoja wa kitaifa itakayoongozwa na Maalim Seif  Zanzibar mutapata nafasi nanyinyi kwasababu ni serikali ya umoja wa kitaifa , hatutowabagua, wala hatutolipiza kisasi, bali tutafanya kazi ondoeni hofu,na kwamba nikiingia serikalini sitoondoka tena sikweli,hayo ni maamuzi ya wananchi wenyewe katika misingi ya kidemokrasia"



"Manusura ya Zanzibar ni serikali kuongozwa na CUF,hivyo jiandaeni kukunja virago"


Maalim Seif  02/04/2018
Wilaya ya kusini Unguja

ameyasema hayo katika mwendelezo wa ziara yake ya kichama mjini Unguja, Zanzibar.


Hakuna maoni