Recent Posts

Breaking News

Nondo asimamishwa masomo UDSM



Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi, Abdul Nondo amesimamishwa masomo Chuo Kikuu cha Dar, hadi kesi yake itakapoisha, Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof William Anangisye amethibitisha.
Nondo amesimamishwa kuanzia March 26, 2018 kwa barua iliyoandikwa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa William Anangisye.



Hakuna maoni