Recent Posts

Breaking News

Viongozi wote wa Chadema wako huru

viongozi wote wa chadema, waliokuwa wakishikiliwa magerezani, wameachiliwa rasmi leo baada ya kukamilisha masharti ya dhamana zao.

Mbowe ametoka na msimamo mkali sana, na pamoja na hayo amesema, ameyaona mengi sana huko jela, na atatafuta wakati mwingine atakapo yasemea hayo.

Hakuna maoni