Ndugai aikwepa hoja binafsi ya Bashe ya watu wasiojulikana
Bunge la 2010-2015 iliwahi kuliwahi kutokea hoja binafsi iliyo wakilishwa na Mh. Zitto Kabwe ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu kitu ambacho kilimalizia kwa mawaziri wanane kujiuzulu au kutakiwa wajiuzulu.
Kwenye tukio hili walitokea wabunge kama watatu walio unga mkono hoja. Walipo hojiwa kwanini wana taka kumuadhibu Waziri Mkuu ambaye anatokana na chama chao. Jibu lao ni kuwa kinacho lalamikiwa wao kama wabunge wa CCM wamekuwa wakilalamika kupitia vikao vyao vya chama kitu ambacho hakijazaa matunda.
Nakumbuka kua wakati kulikuwa na uchaguzi ya jumuiya ya wazazi. Sofia Simba alimvamia mpinzani wake Shy-Rose Bhaji kwa maneno kuwa yeye anazungumzia kero nje ya vikao vya chama, kitu ambacho yeye Sofia Simba hawezi fanya.
Kwenye mwaka 1991 kulibuka G55 na wakafanya yao wakaanikiwa Bungeni. Hili halikumpendeza mwalimu Nyerere. Silaha pekee ilikuwa ni kuwaita kwenye vikao vya chama. Mwalimu ndio Mwalimu, alicheza na maneno mwisho wakamalizia kwa kusema : Serikali tatu sio sera ya CCM. Nini cha kufanya Wabunge walitakiwa warudi Bungeni na kutengua uamuzi wao.
Mh. Bashe akienda Chamani, hatoweza fanikiwa kuruhusiwa maana anaye mkosoa ndiye Mwenyekiti wa chama.
Spika Job Ndugai akiongea kwa mara ya kwanza na mtangazaji Charls Hillary tangu arejee kutoka India kwa matibabu ameongelea suala la mbunge wa Nzega, Hussein Bashe kutoa hoja binafsi.
Amesema pamoja na Kanuni za Bunge pia zipo Kanuni za uendeshaji wa shughuli za Bunge kwa wabunge wa CCM kama chama tawala na zipo kama hizo kwa wabunge wa kambi ya upinzani ambazo zote ni sehemu ya uendeshaji wa shughuli za Bunge.
Amesema Bashe kama mbunge wa CCM, kanuni za wabunge wa CCM zinamtaka aipeleke hoja yake kwenye chama chake kwanza, ikajadiliwe huko na ikikubaliwa Bunge liweze kuipokea.
Ndugai amesema Bunge bado halijapokea hoja hiyo kutoka kwa Bashe pia halijapokea taarifa kutoka kwa katibu wa wabunge wa CCM kama wameipokea hoja hiyo na wameshaurianaje.
Kuhusu afya yake, amesema imeimarika kulinganisha miezi michache nyuma.
Hivi karibuni Mbunge Hussein Bashe (Nzega - CCM) alisema amemuandikia barua Katibu wa Bunge kuhusu ombi la kuwasilisha hoja binafsi bungeni ya kutaka kuundwa tume teule itakayochunguza matukio ya kihalifu nchini.
Haba

Hakuna maoni