KATIBU MKUUWA WA CUF, ATIKISA UNGUJA, ZANZIBAR
Ziara ya Kiutendaji ya Katibu mkuu Mhe.Maalim Seif inaendelea leo tarehe 2/04/2018, Bwejuu wilaya ya Kusini Unguja.
Pamoja na maneno ya aliekuwa Mwenyekiti wa Cuf, Ibrahimu Lipumba, ambae mpaka sasa ameendelea kutambuliwa na msajili wa vyama vya siasa, mbali na kutotambuliwa na katiba ya chama hicho. kwamba chama cha Cuf, kimekufa zanzibar, lakini ukweli ni tofauti kabisa, chombo chetu kimeshuhudia umati mkubwa ukimpokea na kumshangilia Katibu Mkuu, Maali seif sharif Hamad, tangu alipoanza ziara yake huko pemba na sasa ameingia Unguja.
Katibu mkuu, wa Cuf amewahakikishia wananchi wa Zanzibar kwamba, haki yao iko palepale pamoja na jitihada nyingi za dola {CCM} kujaribu kuharibu mafanikio hayo.

Hakuna maoni